Saturday, June 8, 2013

NI MUENDELEZO WA TOUR YA KILANGA BOY NA DUDU BAYA KANDA YA ZIWA

Wasanii kutoka kanda ya ziwa Kilanga boy na The Dudu Baya .....wakiwa katika gari la matangazo katika mji wa maganzo wa kipiga  P A kabla ya kufanya show katika ukumbi wa Lion Dreamer Disco Teck uliuopo katika mji  wa Maganzo show ambayo ili kuwa ya kutambulisha video mpya ya USITAMANI kutoka kwa KILANGA BOY(j baro) ambayo immefanyika katika studio za Zoo Record chini yake Dr Eddo  na kichupa kimefanyika  HIGHPA PRODUCTION ya jijini Mwanza.Track ambayo ni ya tatu kuachiwa na Kilanga Boy mara baada ya track ya kwanza NAIMA na USITAMANI aliyo mshirikisha  Dr Eddo ambaye ndo producer wa ngoma.


licha ya kuachiwa kichupa hicho The Dudu Baya mkali wa hit maker kibao hapa tz kama Nampenda mpenzi,welawela,Nakupenda tu,Mashaka na zingine kibao naye pia ame relizi new track ambayo ina kwenda kwa jina la MATATA ambayo imefanyika katika studio za One love producer akiwa ni Tiddy Hotter Mwanza ngoma ambayo imefanyika hiv karibuni.

Wamezungumza hayo  na Kilangaboy.blogspot.com jana katika maandalizi ya show hiyo ilioyofanyika jana katika maeneo hayo ya mji wa Maganzo. 

Ningependa kupata maoni yako kuhusu kipi unapenda nifanye ili kuweza kukupa wewe wangu mshabiki muziki bora.
Wasiiliana nami kupitia barua pepe (email) babyjohnson41@gmail.com au namba yangu: 0752164276

No comments:

Post a Comment