Thursday, September 19, 2013

Usitamani -Kilanga Boy Ft. Dk. Eddo

Download hapa:

http://www.hulkshare.com/kilangaboy/usitamani-ft-dr-eddo

Mambo vipi?

Natumaini utakuwa poa shabiki wangu mkuu... Najua mmenimiss sana.... na kimya kimekuwepo, sasa nimerejea... niko studio nafanya mchakato wa ngoma na soon nitawafahamisheni kuhusu kinachoendelea.
Asanteni sana kwa support zenu!

Saturday, June 8, 2013

NI MUENDELEZO WA TOUR YA KILANGA BOY NA DUDU BAYA KANDA YA ZIWA

Wasanii kutoka kanda ya ziwa Kilanga boy na The Dudu Baya .....wakiwa katika gari la matangazo katika mji wa maganzo wa kipiga  P A kabla ya kufanya show katika ukumbi wa Lion Dreamer Disco Teck uliuopo katika mji  wa Maganzo show ambayo ili kuwa ya kutambulisha video mpya ya USITAMANI kutoka kwa KILANGA BOY(j baro) ambayo immefanyika katika studio za Zoo Record chini yake Dr Eddo  na kichupa kimefanyika  HIGHPA PRODUCTION ya jijini Mwanza.Track ambayo ni ya tatu kuachiwa na Kilanga Boy mara baada ya track ya kwanza NAIMA na USITAMANI aliyo mshirikisha  Dr Eddo ambaye ndo producer wa ngoma.

Thursday, May 30, 2013

Karibu


Karibu katika blog yangu... www.kilangaboy.blogspot.com
hapa utapata habari na matukio yanayonihusu, kazi zangu pamojana mengineyo mengi.
Endelea kufuatilia.

Asanteni kwa ushirikiano.

Baby Johnson

Mpigie kura Deey Classic


Nenda kwenye uwanja wa msg katika simu yako: andika neno BF1 kisha tuma kwenda namba 15345
Pia waweza kunipigia kura kupitia mtandao kwa kutembelea website ya www.kilitimetz.com au utume